Tuesday, December 18, 2007

JK NA BOYZ 2 MEN..


jk akipozi na boyz II men wakati wa dina la sullivan huko washington dc majuzi ambao walitumbuiza wakati wa mlo huo uliohudhuriwa na kadamnasi kubwa ya wabongo waishio huko pamoja na wamarekani weusi ambao wote amewaalika kwenye mkutano wa sullivan huko a-taun mwezi juni mwakani ambapo takriban wageni 3,000 wa sekta na fani mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria kwenye mkutano huo ambao ni wa kwanza utaohusisha wamarekani weusi wengi kwa mkupuo sehemu hii ya bara la afrika.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home