Tuesday, December 18, 2007

MDAU SIBOMANA TOKA ARDHI UNIVERSITY ANAHAYA YA KUJADILI NASI...

Hi!!!
Simple medidatation kwa leo
Tumezoea kusikia watu, wazee kwa vijana wakisema nyumbani ni nyumbani hata kama....
Tazama picha halisi ya africa,tunapata matatizo mengi kweli kweli na bado hali unayoiona ni ya kweli na ipo.Lakini lazima tuipende AFRICA YETU.Matatizo ni yetu na yatupasa kuyakabili je tufanyeje?????
Huku ndani ya Jiji lenye kila aina ya raha na karaha kuna mengi yanaonekana, Lakini wabongo wanasema tutabanana hapa hapa mpaka kieleweke.Je ni Africa pekee kuna matatizo au na Mabara mengine matatizo yapo!!!!
Tukiwa wazalendo ni lazima tupende kwetu hata kama kuna matatizo ya kila aina.
Salaam zangu kwa leo ni hizoooo, Mungu akubarikini na akutangulie katika yote ufanyayo.Salaam kwa wote,AFRICA YETU,TUIPENDE NA KUIENDELEZA

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home