Tuesday, December 18, 2007

WAANDISHI WA RAISI ENZI HIZOOO..


mwalimu akiwa na waliopata kuwa waandishi wa rais enzi hizo mwaka 1985 ikulu, dar. kutoka shoto ni sammy mdee, ben mkapa, brigedia hashim mbita na habibu halahala. mwalimu, mdee na halahala wote ni marehemu

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home