Je ni kweli wadau kuwa mambo haya bado yana exist Tanzania baada ya Miaka 46 ya Uhuru.
Tufanye nini ilituondokane na adha hii ya Umasikini uliokithiri......?Na je mikoa kama SHINYANGA,Tabora,Musoma na mingineyo ni mikoa ambayo kwa ukweli ina rasilimali nyingi ambazo kama zingekuwa ziko katika mpango mzuri kiserikali mikoa hiyoo ingekuwa ni moja ya mikoa iliyopiga hatua kubwa sana kimaendeleo.....je pesa zinazotokana na Tumbaku na Migodi iliyoko katika mikoa hii zinakwenda wapi?Na je serikali inafikiria nini juu ya raia waloko katika hayo maeneo maana wameteseka sasa imetosha ...serikali mnaombwa basi muwatazame kaka....
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home