Tuesday, December 18, 2007

MSIBA KIJIJINI BUTIAMA: Mdogo Wake Mwalimu


Kitinda mimba kwa mama mzazi wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Joseph Kiboko Nyerere ( 67) amefariki leo nyumbani kwake Butiama. Anatazamiwa kuzikwa Jumatano ya juma hili. Mungu Amrehemu Marehemu. Na kwa niaba ya wanakijiji wenzangu tunatoa pole nyingi kwa familia nzima ya Mwalimu, ndugu , jamaa na marafiki wanaohusika na msiba huu, Amen. ( Pichani Mwalimu enzi za uhai wake akiwa na baadhi ya wanafamilia wake na mgeni wake Askofu Desmond Tutu kijijini Butiama. Picha ya maktaba)

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home