NYERERE NA TAA ENZI HIZO
Sijui picha hii inaambatana na majina yafuatayo:Mwalimu J.K. Nyerere – Rais wa TAA/TANUGeremano Pacha – Jimbo la MagharibiJoseph Kimalando – Jimbo la KaskaziniJaphet Kirilo – Jimbo la KaskaziniC.O. Milinga – Jimbo la MasharikiAbubakari llanga – Jimbo la ZiwaL.B. Makaranga – Jimbo la ZiwaSaadani A. Kandoro – Jimbo la ZiwaSuleman M. Kitwara – Jimbo la ZiwaKisung’uta Gabara – Jimbo la ZiwaTewa Said Tewa – Jimbo la MasharikiDossa A. Aziz – Jimbo la MasharikiAbdu Sykes – Jimbo la MasharikiPatrick Kunambi – Jimbo la MasharikiJoseph K. Bantu – Jimbo la MasharikiAlly Sykes – Jimbo la MasharikiJohn Rupia – Jimbo la Mashariki
katika picha hii Dosa Aziz alikaa pembeni ili asiiweke kazi yake serikalini matatani(kutokana na agizo la circular no.5 kwa watumishi wa serikali).Kasela Bantu hakuwepo ila aliingizwa kwenye picha hii mwaka 1974 na kitengo cha picha cha chuo kikuu cha dar es salaam.Kasela Bantu ndiye aliyemtambulisha mwalimu kwa Abdulwaheed Sykes ambaye kwa wakati huo alikuwa rais wa TAA.Dosa Aziz alijitolea kutumia gari lake kila jpili kumuwezesha mwalimu kutoka Pugu kuja Gerezani kwa ajili ya majidiliano ya kisiasa.
0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home