Friday, December 7, 2007

BREAKING NEWSS...

Rais wa TFF Leodga Chilla Tenga awa mwenyekiti mpya wa shirikisho la soka la Africa mashariki CECAFA.Haya yametokea le katika uchaguzi ulifanyika ndani ya jiji la Dar es saalam
ambapo Ledga alijinyakulia Uenyekiti kwa kura 11 akifuatiwa na mpinzani wake aliyepata kura 8.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home