Saturday, December 1, 2007

MDAU SAMIRI SAITOTI AKIWA NDANI YA TURKEY


Mdau wetu ndani ya Istanbul hakua nyuma ktk kutuma salam zake za siku ya Ukimwi duniani ktk takwimu inaonesha bara la Africa ndio linanekana kuwa na waathirika wengi haswa nchini Africa ya kusini

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home