Sunday, November 18, 2007

I WILL ANOUNCE BUDGET WHEN I GATE MONEY...!!!

.

Habari za bajeti Wananchi wenzangu?

Ujue nimeacha kutumia neno Watanzania kutokana arafiki yangu mmoja kusema watanzania ni wale wote
wananeemeka na maliasili za nchi Tanzania.wananchi ni wale wote wanaishi kwenye nchi Tanzania pasipo kuneemeka nayo.(UCHOYO NA ULAFI).

Watanzania wamesha tangaza bajeti ;wananchi mnasemaje?Kimya au kelele zetu ndio utakuwa usalama wetu?Kama wanakoishi wao mafuta yamepanda kwa zaidi ya shilingi 2000 je?Kigoma na Nkasi itakuwa shilingi ngapi?Kimya au kelele zitatusaidia?
Mshahara umeshapanda kwa kiwango chema kabisa?!Kimya au kelele zetu zitatusaidia?
Walimu kama watumishi wengine wa sirikali watapandishwa madaraja ya kazi ambayo sina hakika kama yataendana na kupandishwa kwa viwango vyote vya mshahara au Kimya au kelele zao zitasaidia?

Kuna neno katiba na kanuni za jumba la Dodoma ambazo zina ruhusu kutotoka nje ya maneno yaliyoandikwa ndani ya kitabu chenyewe.
Ujue si haki na usawa kukosoa kila kitu hasa wanapoongea Watanzania au wananchi wa nje yetu tanzia?

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home