Friday, December 7, 2007

VIJANA WA ZAMAN WANAWEZA MKUMBUKA MAANA ALIKUA KIJANA MACHACHARI ENZI ZAKE..




Huyu si mwingine ni Mzee wetu Remmy Ongala ambaye alikua ni kiongzi Wa Bendi ya Super Matimila na alitamba sana na kiba chake cha KIFO HAKINA HURUMA..Na vinginevyo kwa sasa ameokooka na ana mtukuza Mungu wake kwa SIFA yaani uimbaji..

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home