Sunday, December 9, 2007

HAWA NDIO WAZEE WETU WALIOPIGANIA UHURU WETU...


Sasa ya pata miaka 46 ya UHURU je wabongo aka WATANZANIA tunatoka wapi na tunaelekea wapi maana mpaka leo kuna raia ambao hawazipati huduma muhimu za jamii kama maji,umeme,na hata matibabu..Tujiulizee miaka 46 ya UHURU ni ya manufaa kwa wananchi wote au ni kwa baadhi ya watu walioko katika nyadhifa mbalimbali..(Pichani, Amir Jamal, Dereck Brycson, JK Nyerere, Chief Abdallah Fundikira, Paul Bomani. Juu toka Kushoto Solomon Eliofoo, Rashid Kawawa, Nsilo Swai, Oscar Kambona, Tewa Saidi Tewa

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home