ENG. RAITON AMBELE (ICT AND INFORMATION STUDIES LECTURES)
YOU CAN'T DO THINGS RIGHT BUT YOU CAN ALWAYS DO THE RIGHT THINGS!!ALSO REMEMBER NEVER CUT WHAT YU CAN UNTIE..!! BECAUSE LIFE IS TO LOVE AND TO BE LOVED IN RETURN..
Sunday, November 18, 2007
I WILL ANOUNCE BUDGET WHEN I GATE MONEY...!!!
.
Habari za bajeti Wananchi wenzangu?
Ujue nimeacha kutumia neno Watanzania kutokana arafiki yangu mmoja kusema watanzania ni wale wote wananeemeka na maliasili za nchi Tanzania.wananchi ni wale wote wanaishi kwenye nchi Tanzania pasipo kuneemeka nayo.(UCHOYO NA ULAFI).
Watanzania wamesha tangaza bajeti ;wananchi mnasemaje?Kimya au kelele zetu ndio utakuwa usalama wetu?Kama wanakoishi wao mafuta yamepanda kwa zaidi ya shilingi 2000 je?Kigoma na Nkasi itakuwa shilingi ngapi?Kimya au kelele zitatusaidia?
Mshahara umeshapanda kwa kiwango chema kabisa?!Kimya au kelele zetu zitatusaidia?
Walimu kama watumishi wengine wa sirikali watapandishwa madaraja ya kazi ambayo sina hakika kama yataendana na kupandishwa kwa viwango vyote vya mshahara au Kimya au kelele zao zitasaidia?
Kuna neno katiba na kanuni za jumba la Dodoma ambazo zina ruhusu kutotoka nje ya maneno yaliyoandikwa ndani ya kitabu chenyewe.
Ujue si haki na usawa kukosoa kila kitu hasa wanapoongea Watanzania au wananchi wa nje yetu tanzia?

MAREHEMU ALIKUWA........!!!!!!
Nahitaji fedha kwa sasa lakini hakuna hata mmoja kati yenu anayeniuliza mimi... unahitaji mkopo au fedha ili ......Hakuna!Hata mimi nashindwa kusema nahitaji fedha ili nifanye .........UNAFIKI.
Napenda kutembelea sehemu ambazo ni rahisi watu kunitambua na kunipa sifa ...jana nilikuwa na fulani;nitembee sehemu zenye matatizo au kwa masikini ili aniombe fedha zangu kidogo nilizonazo....?hata wenye nchi hawawezi fika uko??nani?nani amefika KIJIJI CHA KWIHARA tangia achaguliwe na fedha zake...?ndio fedha zake...na alipeleke gari lake....ambako barabara mbovu....wewe....
Najitahidi kumkumbusha kila siku Mola wangu ninachohitaji aniwezeshe niwe nacho.....Pia napenda kumwomba hata kifo changu kiwe cha kawaida ili watu wengine wasije pata kasheshe kwamba wao ndio chanzo cha kifo changu.
nakimbiza shilingi kwa umakini wa ajabu ili pia watu hasa rafiki zangu wasije sema jamaa alikuwa ki.....we acha! sisi ndio rafiki zake tulikuwa tunamjua jamaa.RAITON alikuwa halali usiku.....wakati wao wako macho?
marehemu alikuwa ........
AU ingewezekana kifo chako kingeweza kuepukika?AMINA.
MDAU CHARLES DANIEL..MMOJA KATI YA WAHITIMU CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
Mdau Charles Festo ni mmoja kati ya wahitimu katika Kitivo cha Computer na Hisabati Chuo kikuu cha Dar.Na ni mmoja kati ya wadau wanaotoa mchango mkubwa katika kuanzisha Blogu hii..Hivi sasa Bwn Charles ni mfanyakazi MDH ndani ya jiji la dar kama programmer.MDH ni collaboration ya Muhimbili University College,Havard University na Dar City Council.