Tuesday, December 11, 2007

STRESS KATIKA MAISHA NAYO INALETA MATOOKEOO MABAYA KATIKA FUTURE.




Mmoja wa madaktari katika masuala ya kisaikolojia katika mahojiano nae amewahi kunambia kuwa kila mtu anamawazo ila tu katika kuwaza kwako jitahidi kujiliwaza au kujisahaulisha yale yanayo kusibu ili usije pata stress au uka ji over stress maana matokeo yake huwa kama haya pichani pindi umri unapoanza kwenda..

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home