Tuesday, December 11, 2007

MDAU WETU BRAZA CHITALE A.K.A CHINGA..


Huyu ni mmja kati ya wadau wetu walota mawazo ya kuanzishwa Blogu hii ya jamii hivi sasa Kaka Chitale yuko ndani ya Jiji la Dsm kaungana na Wazalendo kulijenga Taifa hongera kaka Chitale kwa uamuzi wako wa Busara..Sisi bado tunaendeleza libeneke la Winter huku..

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home